MG3697
Jina
MG3697
Zao
Soybean
Mwaka wa Usajili
2026
Registrant / Applicant
Longping Agriscience Tanzania
Production Altitude and Range
700-1800
Maeneo Yanayo Faa
HIGH
Grain Yield
1-2
Distinctive Characters
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 1 hadi 2 kwa hekta; Inakomaa ndani ya siku 105; Ina kiwango protini kwa wastani wa 32.52% na mafuta 13.2%; Inastawi vizuri ukanda wa kati na wa juu kati ya mita 700 hadi 1800 kutoka usawa wa bahari.
