TARI-CASS7
Jina
TARI-CASS7
Zao
Cassava
Mwaka wa Usajili
2026
Registrant / Applicant
Tanzania Agriculture Research Institute (TARI)
Production Altitude and Range
0-1400
Maeneo Yanayo Faa
MEDIUM-HIGH ALTITUDE
Grain Yield
60
Distinctive Characters
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 60 kwa hekta; ukinzani dhidi ya magonjwa ya batobato na michirizi ya kahawia; Ina kiasi kikubwa cha wanga;Inastawi vizuri ukanda wa chini na wa kati kuanzia mita 0 hadi 1400 kutoka usawa wa bahari.
