TARIBAN11
Jina
TARIBAN11
Zao
Banana
Mwaka wa Usajili
2026
Registrant / Applicant
Tanzania Agriculture Research Institute (TARI)
Production Altitude and Range
0-2000
Maeneo Yanayo Faa
LOW-HIGH ALTITUDE
Grain Yield
17
Distinctive Characters
Ina kiwango cha pro-Vitamin A kwa wastani wa 4680µg kwa 100g; Inatoa mavuno ya wastani wa tani 17 kwa hekta, Inastawi vizuri ukanda wa chini hadi wa juu kati ya mita 0 hadi 2000 kutoka usawa wa bahari.
