KUIDHINISHWA KWA MATUMIZI YA AINA ZA MBEGU ZA ASILI KWA MAZAO MBALIMBALI KWA MWAKA 2024/2025
KUIDHINISHWA KWA MATUMIZI YA AINA ZA MBEGU ZA ASILI KWA MAZAO MBALIMBALI KWA MWAKA 2024/2025
24 Jun, 2025

Kwa kuzingatia mchango wa mbegu za asili katika kulinda nasaba za mimea kwa ajili ya usalama wa chakula, Mheshimiwa Waziri wa Kilimo kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 12 (a) na 13 (3) cha Sheria ya Mbegu Sura ya 308, ameidhinisha matumizi ya aina 13 za mbegu za asili za mazao ya mahindi (aina 4), mpunga (aina 4), maharage (aina 2) na papai (aina 3). Kupakua bofya hapa...