Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu

WCF Logo
Prof. Maulid Mwatawala
Maulid Mwatawala photo
Prof. Maulid Mwatawala
Mwenyekiti

Barua pepe: mwatawala@sua.ac.tz

Simu:

Wasifu

Prof. Maulid Mwatawala ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Taaluma Utafiti na Ushauri wa Kitaalamu, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA). Prof Mwatawala ana uzoefu wa masuala ya usimamizi wa taasisi kwa miaka mingi.  Amewahi kuwa mjumbe wa Baraza la iliyokuwa Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu kwa Ukanda wa Kitropiki - TPRI (sasa TPHPA), na Mjumbe wa Baraza na Ushauri la iliyokuwa Mamlaka ya  Chakula na Dawa - TFDA (sasa TMDA). Kwa sasa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET). Pia ni mwanachama wa vyama mbalimbali vya kitaaluma na kitaalamu.