Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu

WCF Logo
Mabadiliko ya mfumo kutoka ATMIS kwenda mfumo wa kielekitroniki wa Kuthibiti Ubora wa Mbegu
14 Jan, 2023 0700AM - 1100AM
Morogoro
Justin A. Katoto, justin.katoto@tosci.go.tz or 0717213777

Taasisi imefanya mabadiliko kutoka kutumia mfumo wa ATMIS na kutumia mfumo wa kielekitroniki wa kuthibiti ubora wa mbegu kuanzia tarehe 19/12/2022. Hivyo, taasisi imesisitisha rasmi matumizi ya mfumo wa ATMIS kwa Makampuni yanayozalisha mbegu na yale yanayoingiza na kusafirisha mbegu nje ya nchi kuanzia tarehe tajwa hapo juu.

Mabadiliko ya mfumo kutoka ATMIS kwenda mfumo wa kielekitroniki wa Kuthibiti Ubora wa Mbegu