KUFUNGIWA KUJIHUSISHA NA UUZAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO NCHINI
KUFUNGIWA KUJIHUSISHA NA UUZAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO NCHINI
03 Dec, 2024
Hivi karibuni, Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) ilifanya ukaguzi na kubaini udanganyifu unaofanywa na baadhi ya kampuni/mawakala wa mbegu na wadau wengine wasio waaminifu wanaouza mbegu zisizothibitishwa ubora na TOSCI. Hali hiyo inaweza kusababisha wakulima kununua mbegu ambazo hazina ubora na kusababisha hasara kwa wakulima na kuhatarisha usalama wa chakula nchini. Hivyo basi, bofya hapa kupata orodha ya wafanyabishara waliofungiwa kufanya biashara ya mbegu mpaka itakapoamuliwa vinginevyo.