Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu

WCF Logo
Katalogi ya Aina za Mbegu za Viazi Mviringo
21 Mar, 2024
Katalogi ya Aina za Mbegu za Viazi Mviringo

Katalogi inabainisha kwa kina sifa za aina mpya kumi na sita (16) za mbegu za viazi mviringo zilizosajiliwa Tanzania pamoja na taarifa za uthibiti na upatikanaji wa mbegu bora za viazi. Aina zilizoanishwa ni zilizosajiliwa hadi kufikia mwaka 2022. Kupakua Katalogi hiyo, tafadhali bofya hapa...